UHARIBIFU WA MAZINGIRA NA HEWA ( Umri miaka 7-11) Compassion International | Hellen Willy |Tanzania

2 Weeks

Kozi hii inahusu uchafuzi wa mazingira na hewa, athari zake na jinsi ya kuzuia hali hiyo.

Join

Ukijua kuhusu umuhimu mazingira utayatunza

Karibu watu wote duniani, asilimia 99 wanavuta hewa isiyo salama iliyopita viwango vya ubora wa hewa vilivyowekwa na shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO na hivyo kutishia afya zao. 

Hii inaathiri zaidi watoto kwakuwa bado wako katika hatua hatarishi ya makuzi. Ni vema kujiepusha na mazingira yoyote yenye hewa chafu ili kuwa salama.

Katika kozi hii utajifunza kuhusu uchafuzi wa hewa( ndani na nje), kujiepusha na hewa chafu, Mmomonyoko wa ardhi na jinsi ya kuzuia mazingira yasiharibiwe.

Kozi ni ya wiki mbili na ina vipengele vidogovidogo kwa kila wiki. Pia kuna video na viambatanisho vingine kwa ajili ya maelezo zaidi.

Syllabus

  • Mmomonyoko wa aridhi
  • Nini maana ya Mmomonyoko wa ardhi
  • Sababu za mmomonyoko wa udongo
  • Madhara yatokanayo na mmomonyoko wa udongo na jinsi ya kuzuia
  • Hitimisho
  • Uchafuzi wa Hewa- Nje
  • "Soma na Mti"
  • Uchafuzi wa Hewa- Ndani
  • Umuhimu wa kutunza mazingira
  • Faida za Kuzuia uchafuzi wa hewa

When would you like to begin ?

Video Lectures