Aina mbalimbali za kazi na namna ya kuzipata ( umri 15-18) Compassion International | Hellen Willy |Tanzania

2 Weeks

Kozi hii inahusu aina za kazi na namna ya kutaFuta  kazi kulingana na uwezo wako.

Join

Kazi yako heshima yako.

Kila mtu aliyeko dunia yuko kwa kusudi maalum. Tangu Mungu alivyotuumba kwenye matumbo ya mama zetu, alitujua sisi zaidi kuliko mtu mwingine, hata kuliko tunavyojijua wenyewe. Kwa kupitia kazi mbali mbali tufanyazo tunadhihirisha makusudi ya kuwepo kwetu.Mungu anaachilia uwezo wa kipekee kwa kila mmoja wetu ili kuweza kufanya kazi/jambo fulani. Kazi tufanyazo zinategemeana sana na uwezo wa kipekee ambao Mungu ameweka ndani yetu. Tunaweza kutambua uwezo  mbalimbali wa kazi kupitia uhusuano: na Mungu,kanisani, shuleni, nyumbani, michezo na marafiki.

Lengo kuu la kozi ni ;Kujenga uwezo wa kijana katika kugundua aina za kazi na namna ya kupata kazi.

 

Syllabus

  • Kuchagua Kazi sahihi
  • Vigezo vya kuchagua kazi
  • Kuchagua kazi kulingana na uwezo wangu
  • Tafakari juu ya uchaguzi wa kazi
  • Hitimisho
  • Fanya kazi inayoendana na Kipawa chako.
  • Jinsi ya kugundua aina yako ya kazi
  • Kubaini Kazi kulingana na uwezo wangu
  • Mjadala juu ya kugundua aina yako ya kazi

When would you like to begin ?