UTUNZAJI WA MUDA ( Vijana miaka 12-14) Compassion International | Hellen Willy |Tanzania

1 Weeks

Kozi hii inahusu utunzaji wa muda.

Join

MUDA NI MALI

Je umewahi kufikiri juu ya neno “hakuna muda wa kutosha” wakati unakusudia kukamilisha Jambo Fulani?

Watu wote tunapata masaa 24 kwa usawa, ila swali la kujiuliza kwanini watu wengine wanaonekana kufikia mafanikio zaidi kupitia muda huo huo kuliko wengine?

Jibu rahisi ni matumizi mazuri ya Muda. Hii inatuambia wazi kuwa hakuna muda haumsubiri mtu. Kila Mtu anapaswa kuelewa thamani ya muda ili aweze kufanikiwa katika maeneo yote ya maisha.

Katika kozi hii utajifunza jinsi ya kutunza muda na kuutumia kwa manufaa ili kupata matokeo makubwa kwa kila eneo la maisha yako.

Syllabus

  • Kanuni za kufanikisha utunzaji wa muda
  • Matumizi ya muda
  • Faida za utunzaji wa muda

When would you like to begin ?