TABIA YA KUJIFUNZA ( VIJANA MIAKA 12-14) Compassion International | Hellen Willy |Tanzania

2 Weeks

Kozi hii inahusisha kujenga tabia ya kujifunza.

Join

UJIFUNZAJI BORA , MATOKEO MAKUBWA

Ikiwa unafanya mazoezi juu ya tabia ya kujifunza, basi ubongo wako utakuwa na nidhamu na mazoea katika jambo hilo, pale ambapo unafuata ratiba fulani au utaratibu, na unalisha ubongo wako kwa habari muhimu mara kwa mara utaongeza uhifadhi bora wa kile unachojaribu kujifunza. Tabia ya Kujifunza inakupa alama nzuri na huifanya akili, mwili na seli za ubongo kubadilika na kuzoea kulingana na kile unachobisha akili yako. Pia, ikiwa utaendelea na ratiba, utaanza kujifunza zaidi na kubadilisha mtindo wako wa kujifunza. Kujitambua ni sehemu ya mchakato wa kujifunza. Mambo unayojifunza juu yako mwenyewe na tabia zako zitakuwa muhimu kwa maendeleo yako.

 

 

Syllabus

  • Kutathmini uwezo wa kiakili
  • Njia 3 za Kujifunza ili Kuelewa Kila Kitu Na Mbinu za Kuzingatia
  • Njia za kujenga tabia ya kujifunza
  • FAIDA ZA KUJENGA TABIA YA KUJIFUNZA
  • Mjadala juu ya kujenga tabia ya kujifunza

When would you like to begin ?

Video Lectures