KARAMA NA VIPAJI VYANGU ( UMRI MIAKA 7-11) Compassion International | Hellen Willy |Tanzania

1 Weeks

Katika kozi hii inahusu uwezo na vipaji.

Join

Kutambua kipaji chako ni ufunguo wa mafanikio

Kozi hii inahusisha vipengele vitakavyokuwezesha kijifunza zaidi namna ya kutambua, kutathmini vipaji vyako na kuangalia namna utakavyweza kuvitumia.

Baada ya kozi hii utaweza kufanya yafuatayo;

·      Kuelezea jinsi ulivyo muhimu kwa Mungu

·      Kuchambua karama na ujuzi wako binafsi

·      Kuweka orodha ya maeneo ya uwezo wako mkubwa wa akili

·      Kuchora picha ya kuelezea karama na ujuzi wako.

Kutakuwa na video na viambatanisho mbalimbali kuelezea zaidi mada hii.

Syllabus

  • Tambua vipaji na uwezo wako
  • Vipaji mbalimbali
  • Mungu amemuumba kila mtu kipekee
  • Zoezi: Picha inayoonesha Kipaji
  • Hitimisho

When would you like to begin ?

Video Lectures